REVENUE HITS

Jumamosi, 23 Machi 2019

MITANDAO 4 YA KUKUPATIA PESA

Habari ya leo tena ndugu yangu, kijana mwenzangu uliye na hamu ya kujikwamua kiuchumu na hujui utaanzia wapi, Hujambo?

Leo napenda kukuletea njia kadhaa zitakazokusaisia kujipatia kipato kipato kwa njia rahisi kabisa. Basi bila kupoteza muda tuanze

=>UPLOAD BOY {Bofya hapo kujisajili}


mtandao huu unakuwezesha kujipatia pesa kwa njia ya kupakia files zako na kuzishare kwa watu mbalimbali  ili wadownload  kadri downloads zinavyokuwa nyingi ndivyo unavyojiongezea kiwango chako cha pesa  jisajili sasa kwa ku click hapo juu

=>PREMISE   {Bofya hapo kudownload}



Kama uonavyo katika picha app hii itakusaidia kujipatia pesa kupitia surveys mbali mbali utakazokuwa ukitumiwa na pindi utakapojibu maswali hayo utasubiri kwa muda wa masaa 22-24 na kulipwa pesa yako  tofauti na mitandao mingine  app hii inakuruhusu kutoa pesa kuanzia shilingi 100 na kuendelea tena kizuri zaidi una withdraw kwa miamala ya nyumbani tz namaanisha tigo pesa na mingineyo  usipitwe  download app hiyo kwa kubonyeza hapo juu

=>ADFLY  {Bofya hapo kujisajili}

Mtandao huu unahusisha links  unachotakiwa kukifanya katika mtandao huu ni kujisajili kisha kuchukua link ndefu kisha kuifupisha na kushea kwa watu wengi zaidi na yule atakayei click link hiyo atakutana na tangazo lenye sekune 5 baada ya hapo wewe utakuwa umeingiza kipato   hivyo juhudi yako ya kushea ndiyo inayokuwezesha kujiongezea fursa ya kupata zaidi  jisajili hapo juu.

=> POPADS  {Bofya hapo kujisajili}

Mtandao huu ni mzuri kwa wewe uliye na blog au website kwa kuwa huu ni mtandao wa kukuwezesha kupata matangazo katika site yako  hivyo ukiwa na watembeleaji wengi ndivyo kiwango chako cha pesa kitakavyokuwa kikubwa sana  huu mtandao unakufaa sana sana sana jisajili hapo juu

Jumatano, 20 Februari 2019

Alhamisi, 14 Februari 2019

KULA pesa zako kiulaini

Habari ndugu  yangu natumaini uko na uzima tele.
 leo nakuletea kitu kimoja kizuri sana ambacho kitakufanya ujipatie mkwanja wa kutosha kwa njia ya mtandao yaani ukiwa nyumbani tu--- ndio ukiwa nyumbani
unachotakiwa ni kuwa na kompyuta yako na tayari kwa kuanza kujiingizia pesa yako
Kujiunga BOFYA HAPA Ni rahisi sana ila kama utapata ttatizo lolote basi tazama video hapo chini au kuangalia kwa youtube  BOFYA HAPA


NATUMAINI UTAKUWA UMEELEWA

Jumatano, 6 Februari 2019

KUFUTWA KWA AKAUNTI ZA GOOGLE+ IFIKAPO 2/4/2019

In December 2018, we announced our decision to shut down Google+ for consumers in April 2019 due to low usage and challenges involved in maintaining a successful product that meets consumers’ expectations. We want to thank you for being part of Google+ and provide next steps, including how to download your photos and other content.
On April 2nd, your Google+ account and any Google+ pages you created will be shut down and we will begin deleting content from consumer Google+ accounts. Photos and videos from Google+ in your Album Archive and your Google+ pages will also be deleted. You can download and save your content, just make sure to do so before April. Note that photos and videos backed up in Google Photos will not be deleted.
The process of deleting content from consumer Google+ accounts, Google+ Pages, and Album Archive will take a few months, and content may remain through this time. For example, users may still see parts of their Google+ account via activity log and some consumer Google+ content may remain visible to G Suite users until consumer Google+ is deleted.
As early as February 4th, you will no longer be able to create new Google+ profiles, pages, communities or events. See the full FAQ for more details and updates leading up to the shutdown.
If you’re a Google+ Community owner or moderator, you may download and save your data for your Google+ Community. Starting early March 2019, additional data will be available for download, including author, body, and photos for every community post in a public community. Learn more
If you sign in to sites and apps using the Google+ Sign-in button, these buttons will stop working in the coming weeks but in some cases may be replaced by a Google Sign-in button. You’ll still be able to sign in with your Google Account wherever you see Google Sign-in buttons. Learn more
If you’ve used Google+ for comments on your own or other sites, this feature will be removed from Blogger by February 4th and other sites by March 7th. All your Google+ comments on all sites will be deleted starting April 2, 2019. Learn more
If you’re a G Suite customer, Google+ for your G Suite account should remain active. Contact your G Suite administrator for more details. You can also expect a new look and new features soon. Learn more
If you're a developer using Google+ APIs or Google+ Sign-in, click here to see how this will impact you.
From all of us on the Google+ team, thank you for making Google+ such a special place. We are grateful for the talented group of artists, community builders, and thought leaders who made Google+ their home. It would not have been the same without your passion and dedication.